WATCH HERE | TAZAMA HAPA
Katika Makala 03 ya MKISI DIGITAL, tunakuletea historia ya Dk. Kizza Besigye Kifefe, mmoja wa watu mashuhuri katika siasa za Uganda na mpinzani mkubwa wa Rais Yoweri Kaguta Museveni. Tunafuatilia maisha ya Kizza Besigye, safari yake ya kisiasa, historia yake, nafasi yake katika siasa za Uganda, changamoto alizokutana nazo na mapambano yake ya muda mrefu dhidi ya utawala wa Museveni. Kizza Besigye ni nani? Alianza vipi safari yake ya kisiasa? Kwa nini alikuja kuwa mmoja wa wapinzani wakubwa wa Museveni? Na safari yake imeacha alama gani katika historia ya Uganda? 🎬 Tazama documentary hii hadi mwisho na ujue historia ya mwanasiasa ambaye kwa miaka mingi amekuwa sehemu muhimu ya siasa za Uganda.WATCH HERE | TAZAMA HAPA 💬 Una maoni gani kuhusu safari ya Kizza Besigye? Tuandikie kwenye comments.
Tags:
Documentaries
